Loading...
Title : AFISA TEHAMA II - FANI YA USIMAMIZI MITANDAO YA TEHAMA (NETWORK ADMINISTRATOR) - 23 POST
link : AFISA TEHAMA II - FANI YA USIMAMIZI MITANDAO YA TEHAMA (NETWORK ADMINISTRATOR) - 23 POST
AFISA TEHAMA II - FANI YA USIMAMIZI MITANDAO YA TEHAMA (NETWORK ADMINISTRATOR) - 23 POST
Date Published: 2018-11-23
Application Deadline: 2018-12-07
JOB SUMMARY:
N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
i.Kusanifu, kusakinisha na kusanidi miundombinu ya ndanina nje ya rntandao wa Kompyuta (Design, install and configure LAN and WAN infrastructure);
ii. Kufanya majaribio ya vifaa vya mtandao wa Kompyuta (Test network equipment and devices);
iii.Kusimamiautekelezaji wa maelekezo ya usalama wa mtandao kwa mujibuwa miongozo ya usalama wa mtandaowa kompyuta (Implement network security guidelines);
iv.Kutathmini na kurekebisha hitilafu zozote za mtandao wa
Kompyuta (Perform network trouble shooting and repair); na
v.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkubwa wake wa kazi zinazoendana na sifa na fani yake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Mhitimu wa Stashahada ya juu au Shahada ya Kompyuta katika moja ya fani zifuatazo; Uhandisi wa Kompyuta, Sayansi ya Kompyuta, Elektroniki na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano au mafunzo mengine yanayohusiana na fani hii. Wenye sifa zilizoorodheshwa hapa chini watafikiriwa kwanza (added advantage): CCNA Routing and Switching, CCNA Security, CCNA Wireless, CCNA Data Center
REMUNERATION: Salary Scale TGS E
APPLICATION
Login to Apply
Thus Article AFISA TEHAMA II - FANI YA USIMAMIZI MITANDAO YA TEHAMA (NETWORK ADMINISTRATOR) - 23 POST
that is all articles AFISA TEHAMA II - FANI YA USIMAMIZI MITANDAO YA TEHAMA (NETWORK ADMINISTRATOR) - 23 POST This time, hopefully can provide benefits to all of you. Okay, see you in another article post.
You now read the article AFISA TEHAMA II - FANI YA USIMAMIZI MITANDAO YA TEHAMA (NETWORK ADMINISTRATOR) - 23 POST with the link address https://latestjobsus.blogspot.com/2018/11/afisa-tehama-ii-fani-ya-usimamizi.html
0 Response to "AFISA TEHAMA II - FANI YA USIMAMIZI MITANDAO YA TEHAMA (NETWORK ADMINISTRATOR) - 23 POST"
Post a Comment