Loading...
Title : AFISA TEHAMA II - FANI YA UCHAMBUZI MIFUMO YA KOMPYUTA (COMPUTER SYSTEMS ANALYSIST) - 16 POST
link : AFISA TEHAMA II - FANI YA UCHAMBUZI MIFUMO YA KOMPYUTA (COMPUTER SYSTEMS ANALYSIST) - 16 POST
AFISA TEHAMA II - FANI YA UCHAMBUZI MIFUMO YA KOMPYUTA (COMPUTER SYSTEMS ANALYSIST) - 16 POST
Date Published: 2018-11-23
Application Deadline: 2018-12-07
JOB SUMMARY:
N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
i.Kuweka kumbukumbu na taratibu za kisasa na mbinu za kufanyia kazi;
ii.Kutekeleza chati za mtiririko wa mifumo ya nyendo za taarifa na udhibiti,
iii.Kuandika programu za Kompyuta (Implement software systems (Write and document code);
iv.Kufanya majaribio ya sehemu timilifu za programu za Kompyuta (Perform unit systems (module testing);
v.Kufanya majaribio ya usanidi wa mifumo ya TEHAMA (Perform testing of system configurations);
vi.Kufanya majaribio ya progamu za kompyuta kulingana na mahitaji ya watumiaji (conducting user acceptance test); na
vii.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkubwa wake wa kazi zinazoendana na sifa na fani yake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Mhitimu wa Stashahada ya juu au Shahada ya Kompyuta katika moja ya fani zifuatazo; Sayansi ya Kompyuta au Menejimenti ya Mifumo ya Habari.
Wenye sifa zilizoorodheshwa hapa chini watafikiriwa kwanza (added advantage): Project Management professional certification (PMP), Quality assurance software testing certification, software testing certification, PMI Professional in Business Analysis (PMI-PBA), Project Management and analysis tools (JIRA, Lucid chart)
REMUNERATION: Salary Scale TGS E
APPLICATION
Login to Apply
Thus Article AFISA TEHAMA II - FANI YA UCHAMBUZI MIFUMO YA KOMPYUTA (COMPUTER SYSTEMS ANALYSIST) - 16 POST
that is all articles AFISA TEHAMA II - FANI YA UCHAMBUZI MIFUMO YA KOMPYUTA (COMPUTER SYSTEMS ANALYSIST) - 16 POST This time, hopefully can provide benefits to all of you. Okay, see you in another article post.
You now read the article AFISA TEHAMA II - FANI YA UCHAMBUZI MIFUMO YA KOMPYUTA (COMPUTER SYSTEMS ANALYSIST) - 16 POST with the link address https://latestjobsus.blogspot.com/2018/11/afisa-tehama-ii-fani-ya-uchambuzi.html
0 Response to "AFISA TEHAMA II - FANI YA UCHAMBUZI MIFUMO YA KOMPYUTA (COMPUTER SYSTEMS ANALYSIST) - 16 POST"
Post a Comment