Loading...
Title : MWENYEKITI WA MABARAZA YA ARDHI NA NYUMBA LA WILAYA (CHAIRPERSON) - 20 POST
link : MWENYEKITI WA MABARAZA YA ARDHI NA NYUMBA LA WILAYA (CHAIRPERSON) - 20 POST
MWENYEKITI WA MABARAZA YA ARDHI NA NYUMBA LA WILAYA (CHAIRPERSON) - 20 POST
MWENYEKITI WA MABARAZA YA ARDHI NA NYUMBA LA WILAYA (CHAIRPERSON) - 20 POST
Employer: Ministry of Lands, Housing and Human Settlements DevelopmentDate Published: 2018-07-30
Application Deadline: 2018-08-13
JOB SUMMARY:
N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
MAJUKUMU
i.Kusikiliza kuamua migogoro yote ya Ardhi na Nyumba kwa Mujibu wa Sheria Na.2 ya Mwaka 2002;
ii.Kusikiliza na kutoa uamuzi Rufaa kutoka Mabaraza ya Kata;
iii.Kufanya marejeo kwa mashauri yaliyosikilizwa na Mabaraza ya Kata; na
iv.Kusimamia utekelezaji wa Maamuzi ya Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya na Mabaraza ya Kata yaliyo kwenye eneo husika.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
i.Awe na Shahada ya Sheria na kuendelea kutoka Chuo Kikuu kinachotambuliwa na Serikali na kumaliza mafunzo kazini (Internship) au Postgraduate diploma kutoka Shule ya Sheria Tanzania;
ii.Awe mwaminifu, awe na msimamo na mtu asiyeweza kuyumbishwa;
iii.Awe hajawahi kushitakiwa katika Mahakama yeyote na kupatikana na hatia; na
iv.Awe na uzoefu wa miaka mitano (5) katika masuala ya Sheria na kutolea uamuzi
REMUNERATION: Salary Scale LSSE. 2
APPLY HERE
Thus Article MWENYEKITI WA MABARAZA YA ARDHI NA NYUMBA LA WILAYA (CHAIRPERSON) - 20 POST
that is all articles MWENYEKITI WA MABARAZA YA ARDHI NA NYUMBA LA WILAYA (CHAIRPERSON) - 20 POST This time, hopefully can provide benefits to all of you. Okay, see you in another article post.
You now read the article MWENYEKITI WA MABARAZA YA ARDHI NA NYUMBA LA WILAYA (CHAIRPERSON) - 20 POST with the link address https://latestjobsus.blogspot.com/2018/08/mwenyekiti-wa-mabaraza-ya-ardhi-na.html
0 Response to "MWENYEKITI WA MABARAZA YA ARDHI NA NYUMBA LA WILAYA (CHAIRPERSON) - 20 POST"
Post a Comment