Loading...
Title : MPIMA ARDHI DARAJA LA II (LAND SURVEYOR GRADE II), - 1 POST
link : MPIMA ARDHI DARAJA LA II (LAND SURVEYOR GRADE II), - 1 POST
MPIMA ARDHI DARAJA LA II (LAND SURVEYOR GRADE II), - 1 POST
Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2020-01-04
Application Deadline: 2020-01-18
JOB SUMMARY:
NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Login to Apply
Date Published: 2020-01-04
Application Deadline: 2020-01-18
JOB SUMMARY:
NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
· Sehemu ya Upimaji Milki (Cadastral Survey)
- Kuingiza taarifa za Upimaji (alpha numeric data) kwenye kompyuta.
· Sehemu ya Topographic na Geodetic Surveys
- Kukagua kazi za upimaji na kuingiza taarifa za kazi zilizothibitishwa kwenye komputa.
· Sehemu ya Ramani
- Kufanya upimaji picha (aerial triangulation and block adjustment);
- Kuandaa vikosi kwa ajili ya kuhuisha ramani (map revision)
- Kutunza kumbukumbu za picha za anga.
· Sehemu ya Hydrographic Surveys
-Kusimamia na kuchukua vipimo vya tide gauges.
· Mpima Ardhi katika Serikali za Mitaa
- Kufanya kazi za nje ya Ofisi (field survey operations) chini ya usimamizi wa mpima aliyesajiliwa.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
· Kuajiriwa wenye Stastahada ya juu/Shahada kutoka Chuo Kikuu cha Ardhi katika fani ya Upimaji Ardhi au Taasisi yoyote inayotambuliwa na National Council of Professional Surveyors (NCPS). Au
· Kuajiriwa wenye cheti cha East African Land Survey (EALSC) au National Council of Professional Surveyors Certificate (NCPSC) katika fani ya upimaji ardhi.
REMUNERATION: Salary Scale TGS.ELogin to Apply
Thus Article MPIMA ARDHI DARAJA LA II (LAND SURVEYOR GRADE II), - 1 POST
that is all articles MPIMA ARDHI DARAJA LA II (LAND SURVEYOR GRADE II), - 1 POST This time, hopefully can provide benefits to all of you. Okay, see you in another article post.
You now read the article MPIMA ARDHI DARAJA LA II (LAND SURVEYOR GRADE II), - 1 POST with the link address https://latestjobsus.blogspot.com/2020/01/mpima-ardhi-daraja-la-ii-land-surveyor.html
0 Response to "MPIMA ARDHI DARAJA LA II (LAND SURVEYOR GRADE II), - 1 POST"
Post a Comment