Loading...
Title : FUNDI MCHUNDO DARAJA II (USUBIAJI NA UUNGAJI VYUMA-MOULDING). - 2 POST
link : FUNDI MCHUNDO DARAJA II (USUBIAJI NA UUNGAJI VYUMA-MOULDING). - 2 POST
FUNDI MCHUNDO DARAJA II (USUBIAJI NA UUNGAJI VYUMA-MOULDING). - 2 POST
FUNDI MCHUNDO DARAJA II (USUBIAJI NA UUNGAJI VYUMA-MOULDING). - 2 POST
Employer: SHIRIKA LA MZINGADate Published: 2018-07-30
Application Deadline: 2018-08-13
JOB SUMMARY:
N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
i.Kuandaa mchanga utumikao katika uandaaji wa ‘moulds’ na ‘core’ mbalimbali;
ii.Kutengeneza ‘moulds’ za aina mbalimbali kwa ajili ya usubiaji;
iii.Kusubu brasi na vyuma;
iv.Kushirikiana na wafanyakazi wengine katika kutimiza malengo ya Shirika; na
v.Kufanya kazi nyingine kama atakavyoelekezwa na Kiongozi wake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Elimu ya kidato cha nne na Cheti cha Ufundi Stadi (Trade Test Grade III/CBET I) yenye mwelekeo wa Usubiaji na Uungaji Vyuma ‘moulding’ kutoka VETA au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION: Salary Scale PGSS 2.
APPLICATION
CLICK HERE TO APPLY
Thus Article FUNDI MCHUNDO DARAJA II (USUBIAJI NA UUNGAJI VYUMA-MOULDING). - 2 POST
that is all articles FUNDI MCHUNDO DARAJA II (USUBIAJI NA UUNGAJI VYUMA-MOULDING). - 2 POST This time, hopefully can provide benefits to all of you. Okay, see you in another article post.
You now read the article FUNDI MCHUNDO DARAJA II (USUBIAJI NA UUNGAJI VYUMA-MOULDING). - 2 POST with the link address https://latestjobsus.blogspot.com/2018/07/fundi-mchundo-daraja-ii-usubiaji-na.html
0 Response to "FUNDI MCHUNDO DARAJA II (USUBIAJI NA UUNGAJI VYUMA-MOULDING). - 2 POST"
Post a Comment