Loading...

Mtunza Kumbukumbu Msaidizi Daraja la II X 1 at Manispaa ya Kinondoni

Loading...
Mtunza Kumbukumbu Msaidizi Daraja la II X 1 at Manispaa ya Kinondoni - Hallo friend LATEST JOBS, In the article you read this time with the title Mtunza Kumbukumbu Msaidizi Daraja la II X 1 at Manispaa ya Kinondoni, we have prepared well for this article you read and download the information therein. hopefully fill posts Article bank, Article contracting, Article health, Article lecturer, Article manufacturing, Article marketing, Article property, Article public, Article teachers, Article telecommunications, we write this you can understand. Well, happy reading.

Title : Mtunza Kumbukumbu Msaidizi Daraja la II X 1 at Manispaa ya Kinondoni
link : Mtunza Kumbukumbu Msaidizi Daraja la II X 1 at Manispaa ya Kinondoni

Read also


Mtunza Kumbukumbu Msaidizi Daraja la II X 1 at Manispaa ya Kinondoni

Application deadline 2017-08-14
Location
Dar Es Salaam
Description
Mwananchi 1/8/2017
Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni anapenda kuwatangaiia nafasi za kazi Watanzania wenye sifa kama ifuatavyo :-
SIFA
Kuajiriwa mwenye elimu ya kidato cha nne (iv) au cha sita (vi) aliohudhuria
mafunzo ya utunzaji wa kumbukumbu na kupata cheti cha cha utunzaji
kumbukumbu katika mojawapo ya fani za Afya, Masjala, Mahakama na
Ardhi.
Kazi na majukumu
(i.) Kutafuta kumbukumbu / nyaraka/mafaili yanayohitajiwa na wasomaji
(ii). Kudhibiti upokea]i, uandikishaji wa kumbukumbu/ nyaraka
(iii). Kuchambu. kuorodhesha na kupanga kumbukumbu/nyaraka katika
makundi kulingana na somo husika (classification and boxing) kwa
ajili ya matumizi ya ofisi
(iv). Kuweka /kupanga kumbukumbu( barua nyarakan.k) katika reki (file
. recks)/cabinets katika masijala/vyumba vya kuhifadhia kumbukumbu
(v). Kuweka kukmukumbu (barua. nyaraka n.k) katika mafaili
(vi). kushughulikia maombi ya kumbukumbu/ nyaraka kutoka Taasisi za
Serikali
NGAZI VA MSHAHARA NI TGS B
MASHARTI VA JUMLA:
Mwombaji lazima awe Raia wa Tanzania.
Awe amehitimu na Kupata Cheti cha Taaluma cha Kidato cha Nne (IV) au (VI) NB. Results Slip hazikubaliki
Awe na Cheti cha Kuzaliwa
Barua zote ziambatane na nyaraka zifuatazo;-
i) Nakala za Vyeti vya Mwombaji vilivyothibitishwa.
ii) Maelezo binafsi ya Mwombaji (Curriculum Vitae).
iii) Picha ndogo za rangi (Coloured Passport size) mbili (2) za Mwombaji
za hivi karibuni.
Kila mwombaji lazima awe na Umri kati ya miaka 18 - 45
Waombaji wenye Sifa Pungufu au zaidi na zilizotajwa hapo juu hawashauri kuomba

 APPLICATION
Barua zote za maombi ziandikwe kwa mkono, zikiwa na anwani kamili ya Mwombaji, pamoja na namba ya simu na zitumwe kwa anuani ifuatayo:-
MKURUGENZI WA MANISPAA
MANISPAA VA KINONOONI
S. L. P. 31902
2BARABARA YA MOROGORO,
14883 DAR ES SALAAM


Thus Article Mtunza Kumbukumbu Msaidizi Daraja la II X 1 at Manispaa ya Kinondoni

that is all articles Mtunza Kumbukumbu Msaidizi Daraja la II X 1 at Manispaa ya Kinondoni This time, hopefully can provide benefits to all of you. Okay, see you in another article post.

You now read the article Mtunza Kumbukumbu Msaidizi Daraja la II X 1 at Manispaa ya Kinondoni with the link address https://latestjobsus.blogspot.com/2017/08/mtunza-kumbukumbu-msaidizi-daraja-la-ii.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mtunza Kumbukumbu Msaidizi Daraja la II X 1 at Manispaa ya Kinondoni"

Post a Comment

Loading...