Loading...
Title : HESLB YATOA MWONGOZO NA VIGEZO VYA UTOAJI MIKOPO KWA MWAKA 2017/2018
link : HESLB YATOA MWONGOZO NA VIGEZO VYA UTOAJI MIKOPO KWA MWAKA 2017/2018
HESLB YATOA MWONGOZO NA VIGEZO VYA UTOAJI MIKOPO KWA MWAKA 2017/2018
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inatangaza mwongozo na vigezo vya utoaji mikopo na ruzuku kwa mwaka wa masomo 2017/2018 na itaanza kupokea maombi ya mikopo kuanzia tarehe 6 Agosti 2017 hadi tarehe 4 Septemba, 2017.
Waombaji wote wa mikopo watarajiwa mnasisitizwa kusoma mwongozo wa utoaji mikopo na ruzuku kwa mwaka wa masomo 2017/2018 pamoja na taratibu nyingine za uombaji mkopo kabla ya kujaza fomu za maombi ya mkopo zinazopatikana kwenye mtandao wa http://ift.tt/2wgApIt
Kusoma mwongozo na vigezo vya utoaji mikopo na ruzuku kwa mwaka wa masomo 2017/2018 bofya hapa
Kusoma hatua za kufuata kufanya maombi ya mkopo na malipo bofya hapa
Kusoma kuhusu sifa za msingi za mwombaji kwa Kiswahili bofya hapa na kwa Kiingereza bofya hapa
Thus Article HESLB YATOA MWONGOZO NA VIGEZO VYA UTOAJI MIKOPO KWA MWAKA 2017/2018
that is all articles HESLB YATOA MWONGOZO NA VIGEZO VYA UTOAJI MIKOPO KWA MWAKA 2017/2018 This time, hopefully can provide benefits to all of you. Okay, see you in another article post.
You now read the article HESLB YATOA MWONGOZO NA VIGEZO VYA UTOAJI MIKOPO KWA MWAKA 2017/2018 with the link address https://latestjobsus.blogspot.com/2017/08/heslb-yatoa-mwongozo-na-vigezo-vya.html
0 Response to "HESLB YATOA MWONGOZO NA VIGEZO VYA UTOAJI MIKOPO KWA MWAKA 2017/2018"
Post a Comment